,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, August 31, 2017

Wednesday, August 30, 2017


Tuesday, August 29, 2017

 


Monday, August 28, 2017

Wednesday, August 16, 2017


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipokea moja ya kitabu chenye kumbukumbu ya historia ya Afrika ikiwemo Tanzania kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bibi. Zulmira Rodrigues wakati wa kikao na watendaji wa Wizara pamoja na UNESCO kujadili mashirikiano yaliyopo katika kuhifadhi historia ya nchi leo Jijini Dar es Salaam .

 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatano, Agosti 16, 2017) kuelekea nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

Akiwa nchini Cuba Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Cuba kwa lengo la kukuza ushirikiano katika sekta za afya, elimu utalii na Kilimo.

Aidha, nchi ya Cuba ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke ,Felex Jackson katika Uwanja wa Ndege wa Julias Nyerere Dar es salaam leo August,16/2017 akiwa anaelekea Nchini Cuba Kwa ziara ya kikazi.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMATANO, AGOSTI 16, 2017.

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imewaweka chini ya uangalizi kwa kipindi cha miaka miwili Msanii wa Bongofleva Rashid Abdalah maarufu Chidbenzi na wenzake watano baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha hati ya kiapo dhidi ya maombi hayo.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad,  ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
WAFANYABIASHARA wawili  wakazi wa Kimara jijini Dar es Salaam, Jumbo Cheto(39)  na  Anna Kilawe (43) leo wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya wizi wa mafuta ya mawese na sabuni zenye thamani ya milioni 60.
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ametangaza kwamba muungano wake wa National Super Alliance (NASA) utawasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa Rais mteule Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumanne ya tarehe 8 Agosti 2017 wiki iliyopita.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amekabidhiwa mradi wa Maboresho ya Mtaa Samora uliogharimu zaidi ya Shilingi Milion 840 zilizofadhidhiliwa na  Serikali ya Japan kupitia Shirika la Kimataifa la maendeleo Japan (JAICA) na Manispaa ya Ilaa uliokamilika kwa 100%.

Ratiba ya Mapokezi ya Majeruhi wa Lucky Vicent Hii Hapa

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ametoa ratiba ya majeruhi wa shule ya Lucky Vicent ya jijini Arusha ambao walikuwa nchini Marekani kimatibabu kufuatia ajali walioipata.
Sierra Leone imeingia kwenye headlines mbalimbali duniani baada ya kuingia kwenye maombolezo makubwa kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha kwa siku tatu katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Freetown.
Menelaos Tsampos akiwa kortini.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, le imemnyima dhamana raia wa Afrika Kusini ambaye ni mhandisi, Menelaos Tsampos, anayetuhumiwa kwa kosa la kumtishia mtu kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa kompyuta.
Wabunge waliofukuzwa CUF wakiwa kortini.
MHAKAMA Kuu imeahirisha kutoa hukumu juu ya pingamizi lililowasilishwa na wabunge wanane  wa Viti Maalum wa CUF kupinga Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaapisha wabunge wapya walioteuliwa na Mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Msajili wa Vyama,  Prof. Ibrahim Lipumba.
Image may contain: 1 person, standing and suit
"Leo nikipokea nasaha za Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Balozi Kijazi Chuo Cha Ulinzi Cha Taifa!"
Image may contain: 1 person

 Image may contain: 1 person

Baada ya kuambulia kura tatu katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais, Fredirick Mwakalebela amesema uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki ila anajipanga kugombea tena uchaguzi ujao.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Balozi Benedict Mashiba wakati alipokutana naye Ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam leo Jumatano, (Agosti 16, 2017).
Super Late lunch at Downtown ...I mean unajua juzi nimewaangalia wale vilema waliokuwa wanapigania miguu kwa RC...nikajiuliza hivi mimi binafsi nina tatizo gani la kumlalamikia Mungu katika maisha yangu?
Image may contain: sky, skyscraper and outdoor

Moja ya taarifa kubwa inayosambaa kwenye mitandao tangu tangu jana ni hii inayomuhusu Rapa Chid Benz na wenzake Sita kukamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala wakiwa na dawa za kulevya baada ya kufanya msako.


Image may contain: 4 people, people smiling, people standing and indoor
Baadhi ya Wabongo wanaoishi New York/City na vitongoji vyake walipokutana nyumbani kwa Fundi Kombo, pichani chini na kuchoma nyama na batazzz batannn live!!
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Balozi Benedict Mashiba wakati alipokutana naye Ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam leo Jumatano,( Agosti 16, 2017).
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Balozi Benedict Mashiba, ambapo amemtaka kuimarisha mahusiano baina ya nchi zote mbili.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani katikati (aliyevaa suti) akimsikiliza Mkuu wa Kivuko/ Magogoni Kigamboni Mhandisi Lukombe King’ombe wakati akimpa taarifa ndani ya chumba cha kuongozea kivuko cha MV. KAZI alipotembelea kujionea utendaji kazi wake, wa kwanza kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dk. Mussa Mgwatu .
Image may contain: food
BIASHARA HARAMU: Kijana Sadiki wa maeneo ya Tegeta,anayedaiwa kuuza mishikaki katika eneo lililopo karibu na jengo la Kibo Complex,

ufunguzi