,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, July 27, 2017

Image may contain: indoor
"Thanks be to God leo tumemalizia Wiring yaani sasa Umeme humu ndani at our New Le Mutuz Online TV Studio Downtown to Downtown back to back upo sawa 100% ....bado a standby Generator umeme wa Tanesco ukikatika ...kazi ya Blog imeshaanza tayari na PHASE TWO ya vifaa vya TV itaanza anytime lakini pole pole hatutaki kukosea U know ....Guys tupigane na tupambane na maisha wachana na maneno ya wasiokufahamu cause ni wewe ndiye unayeijua Size ya Njaa yako kama mimi ninavyoijua Size ya Njaa yangu ....how to fight sihitaji kuambiwa wala ku negotiate au ku Compromise na any one ....ni kupigana tu mpaka siku ya mwisho wa Maisha ila as long as I live the fight goes on na hakuna wa kuniamulia Silaha ....hahaha ....guys hakuna mkato ni KAZI JUU YA KAZI .....Bampa to Bampa and I lov it!" - le Mutuz Nation
Image may contain: 1 person, smiling, closeup and indoor
Image may contain: indoor

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi