,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, July 31, 2017

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Meli Mbili Mpya ambazo zimetengenezwa kwa gharama ya zaidi ya Shilingi Bilioni 11.7 kuimarisha usafirishaji wa Abiria na Mizigo ndani ya Ziwa Nyasa.

Meli hizo zimekamilika na meli nyingine ya abiria iko katika hatua ya mwisho kukamilika, na kwamba zitakapo kamilika zitatumia zaidi ya Shilingi Bilioni 27.8.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi