,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, July 31, 2017

 Image result for kassim majaliwa images

Waziri Mkuu Mh.Kassim majaliwa ameiagiza taasisi ya kudhibiti na kupambana na rushwa TAKUKURU mkoani mbeya kuwakamata,
kuwahoji na kisha kuwafikisha Mahakamani mara moja waliowahi kuwa wakurugenzi watatu na Kaimu Mkurugenzi mmoja wa jiji la Mbeya, Meya mstaafu wa jiji hilo, wahasibu wawili na wajumbe wote wa bodi walioshiriki kuidhimisha fedha za mradi wa soko la Mwanjelwa kwa kuisababishia hasara kubwa halmashauri ya jiji hilo.

- Agizo hilo linafuatia watajwa kuongeza gharama za ujenzi wa soko hilo kutoka shilingi bilioni 13 hadi kufikia zaidi ya shilingi bilioni 19 na hivyo halmashauri kutakiwa kulipa deni hilo na riba inayofikia zaidi ya shiolingi bilioni 63.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi