,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, July 31, 2017

Msanii wa Bongo Flava na Mtangazaji wa Clouds Tv, Babuu wa kitaa ameingia rasmi kwenye orodha ya wasanii/watu maarufu waliofunga ndoa mwaka huu.
Shughuli hiyo iliyofanyika siku ya jana ilihudhuriwa na watu wake wa karibu wakiwemo watangazaji wenzake wa kituo hicho. Kwa mwaka huu pekee tumeshudia ndoa ya Madam Frora, Mx Carter, Producer Dx na Professor Jay.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi