,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, July 10, 2017

Jumatatu ya leo kesi ya malkia wa filamu hapa nchini Wema Abraham Sepetu imeendelea tena katika mahama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Kesi hiyo imeshindwa kuendelea tena leo baada ya Hakimu anayesikiliza kesi hiyo Thomas Simba kutokuwemo mahakamani na hivyo imeghairishwa tena mpaka Auigust 1 mwaka huu.
Muigizaji huyo anatuhumiwa kwa kesi ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya Bangi . Hii ni takribani mara ya tatu kesi hiyo imekuwa ikisogezwa mbele.
Hata hivyo Wema akiwa mahakamani ameonekana kutokuwa vizuri kiafya.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi