,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, July 31, 2017

Image may contain: 1 person, closeup
LIVE STRAIGHT TALK: The of Magufuli hatimaye Tanzania tumepata tulichokuwa tunakililia sana katika Miaka 56 ya Uhuru wetu cause wala sio siri pamoja na sifa zote za Baba wa Taifa bado kuna watu wengi waliompinga na hata kutaka kumpindua na siku zote malalamiko makubwa yalikuwa ni SHERIA NA UCHUMI yaani tulikuwa na Uchumi mbovu na kuna Watu waliokuwa juu ya Sheria ....ni kwenye Uchaguzi uliopita wa Rais ilipokubalika na sisi wote WaTanzania kwamba MABADILIKO yalikuwa ni lazima tulikubaliana kwa pamoja kwamba tumechoshwa na Uongozi wa Mazingaombwe ambao tumeishi nao kwa miaka 55 ya Uhuru wetu ....yalikuwa ni maajabu kuona tunafuata siasa ya Ujamaa lakini tunajenga matabaka ya THE HAVES and THE DONT HAVES na the gap baina ya Matajiri wachache na Masikini wengi ilianza kutisha ....tulifikia kuwa na Viongozi matajiri yaani mtu akiingia kwenye Uongozi automatically anakuwa tajiri wa ajabu tena ghafla vilio vya Wananchi kudhulumiwa na kuibiwa pesa za umma hazikuwa na wa kuzisikiliza ...tulikaribia sana kumpa nafasi ya kuwa Rais Waziri Mkuu Mstaafu aliyelimbikizia mali za ajabu ambazo mpaka leo ni kitendawili kikubwa sana as of alizipata wapi hizo Mali?....Mwaka Mmoja na Nusu wa Rais Magufuli tunajionea maajabu ya Mabadiliko ambayo huko nyuma tulishakata tamaa kuwa CCM haitakuja kuwa na Rais asiyewaogopa CCM wenzake maana wote waliopita walikuwa na tabia ya kuogopana ndani ya CCM ....that is not the case anymore na Rais Magufuli ametuonyesha kwamba HAKUNA LISILOWEZEKANA na HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA sasa hivi wote tunaisoma namba hakuna cha CCM wala Upinzani kitabu ni kile kile ....tulikuwa tumefika mbali sana yaani unakuta mtu amebeba Mamilioni ya pesa kwenye buti ya gari infact tulikuwa na Viongozi wa Serikali waliokuwa na uwezo wa kwenda London kuangalia mechi za Man United Jumamosi na kurudi Jumapili ..Rumande za Keko na Segerea zilikuwa ni sehemu za Maskini tu sio wenye uwezo na ofisi za Serikali zilikuwa ofisi za maigizo..lakini kwa muda mfupi sana Rais Magufuli amefanya maajabu ya Dunia ndugu zangu cha msingi ni Wananchi kumuunga mkono tuachane na wasiotaka kukubali kwamba zile zama za ujanja ujanja zilishafikia mwisho na hazipo tena!..VIVA MAGUFULI! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi