,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, July 27, 2017

BAADA ya kufanya vizuri na baadhi ya ngoma zake kama Na Yule, Sijutii, na nyingine nyingi, staa wa Bongo FlevaRuby, amemuanika baba kijacho wake kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Huyu ndiye Jamali mpenzi wa Ruby
Ruby ambaye ‘amejaza na akajazwa’ na sasa ni mama kijacho amemtundika ‘handsome boy’ wake huyo anayeitwa Jamal na kumuandikia ujumbe ufuatao.
My prince charm, my smile maker, Baba princess Ruby

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi