,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, July 12, 2017

Hatimaye klabu ya soka ya Everton ya Uingereza imewasili rasmi muda huu katika uwanja wa ndege J.K Nyerere kwa ajili ya mchezo wake na Gor Mahia ya Kenya siku ya kesho (Alhamisi) katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Timu hiyo imewasili na kocha wao Ronald Koeman pamoja na wachezaji wao wote akiwemo Wayne Rooney aliyasajiliwa wiki iliyopita akitokea Manchester United. Hizi ni picha za timu hiyo zilivyowasili uwanja wa ndege.


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi