,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, July 26, 2017

 Siku 11 zimepita toka utokee msimba wa mke wa waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo Dr Harrison Mwakyembe, leo ameongea na vyombo vya habari nyumbani kwake Kunduchi Dar es Salaam.

Waziri Mwakyembe leo ameongea na vyombo vya habari na kuwashukuru wote waliyoshiriki kumfariji na waliyoshiriki katika mazishi ya mkewe Lucy George Mwakyembe ambaye alifariki akiwa anatibiwa katika hospitali ya Aga Khan.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi