,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, July 10, 2017

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Dar Gymkhana, George Kritsos wakati wa hafla yamaadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam. 
Mwenyekiti wa klabu ya Dar es salaam Gymkhana, Walter Chipeta akikabidhi zawadi kwa mshindi wa jumla wa mchezo wa Gofu, Asim Mohamed Rahim aliyeshinda kwa pointi 81 wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam. 
Mwenyekiti wa klabu ya Dar es salaam Gymkhana, Walter Chipeta akikabidhi zawadi kwa mshindi wa Mchezo wa gofu divisheni B, Mohammed Rahim wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam. 
Nahodha wa mchezo wa Gofu wa Klabu ya Dar Gymkhana Akhil Yusufali akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam. 
Mkurugenzi Mkuu wa Britam Insurance Tanzania, Godfrey Lokonyo akikabidhi zawadi kwa mshindi wa Mchezo wa gofu divisheni C, Simon Mwangi wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam. 
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakeyembe akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi