,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, August 12, 2017


CCM Mkoa wa Arusha imemfukuza uwanachama aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM mkoa Arusha na diwani wa kata ya Sambasha
Power Lengai Ole Sabaya.Hii nikutokana na kukosa maadili ya kiuongozi Kwa mujibu wa katiba ya ccm ambayo inamtaka Kila mwanachama na kiongozi wa ccm atakuwa mfano na mwenye uadilifu Kwa umma kughushi ni kosa la jinai hivyo amekidhalilisha chama chetu CCM.Hivyo tunaomba umma utambua kuwa ccm inasimamia maadili na misingi yake.Tunaomba jeshi la Polisi lifanye kazi yake kwakumpa stahiki yake Kwa mujibu Kwa sheria za nchi .
Taarifa hizi zimetolewa na katibu wa CCM Arusha

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi